racket
racket
1 n 1 (sing. only) ghasia, makelele,zahama. 2 utapeli, ulaghai (wa kudanganya ili kupata fedha). 3 jaribio. stand the ~ kubali lawama, kubali adhabu yako; shinda jaribio. 4 msukosuko/pilikapilika. vi ~(about) piga kelele; ishi maisha ya pilikapilika. racketeer n laghai, mlanguzi, tapeli. racketeering n.racket
2 n (also racquet) 1 raketi. 2 (pl) mchezo wa (kutumia) raketi. 3 kiatu cha kutembelea juu ya theluji.