1n 1 uchaga/chanja. 2 shubaka la kuwekea mizigo ndani ya gari/basi. 3 chano cha wanyama. 4 chuma au reli yenye meno ambamo meno ya gurudumu huingia.
rack
2n (usu.the ~) kitanda cha kutesea. be on the ~(fig) teseka, -wa katika tabu, dhiki, shida kubwa. vt 1 tesa, kwa kutumia kitanda cha kutesea; (of disease or of mental agony) tesa sana he was ~ed with grief aliteseka sana kwa huzuni. 2 ~ one's brains piga bongo, tafakari. 3 nyanyasa (wapangaji nyumba) kwa kuwatoza kodi kubwa. ~ rentn kodi ya kinyonyaji.