race
race
1 n 1 (origin) asili kabisa. 2 (group) jamii. 3 (ancestry) mbari. racial adj 1 -a jamii; -a mbari racial discrimination utenganisho wa kimbari racial segragation ubaguzi wa kimbari. 2 -a ukoo. racialism n 1 ukinzani wa kimbari/kijamii. 2 imani kuwa jamii au mbari ya watu fulani ni bora zaidi kuliko nyingine. racism n ubaguzi wa kimbari.race
2 n 1 shindano la mbio horse ~ shindano la mbio za farasi motor ~ shindano la mbio za magari ~ track uwanja wa mbio. ~-card n ratiba na orodha ya mbio za farasi. race-course n uwanja wa mashindano ya mbio za farasi. racehorse n farasi wa mashindano. ~-meeting n siku ya mashindano ya mbio. race-track n barabara ya mbio. 2 mkondo wa maji wa kasi. 3 (lit) njia ya jua au mwezi; (fig) maisha. vt,vi 1 (with/against somebody) shindana katika mbio. 2 miliki/ shindanisha farasi wa mbio. 3 kimbiza/endesha mtu/kitu kwa mwendo mkali. racing n mashindano ya mbio. racer n 1 mtu/farasi/baiskeli inayoshiriki katika mashindano ya mbio. 2 mtu, chombo, n.k. chenye mbio sana.