rabbit

n 1 sungura. ~-hole/-burrow n shimo la sungura pori. ~-hutch n kijumba cha mbao cha sungura (afugwaye). ~ punch n pigo la ngumi nyuma ya shingo. ~-warren n eneo lililojaa mashimo ya sungura pori. 2 (fig) sehemu ya njia nyembamba na ya kupindapinda. 3 (colloq) mchezaji duni (agh. katika tenisi). vt winda sungura.