rabbi

n 1 rabi: mwanasheria (wa sheria za Kiyahudi). 2 mwalimu/bwana: neno la heshima litumiwalo na Wayahudi. 3 kiongozi wa dini ya Kiyahudi. rabbinate n 1 ofisi/ muda/kipindi cha urabi. 2 jumuiya yote ya marabi. ~nic(al) adj -a utaalamu wa dini/ sheria za Kiyahudi.