quiz

n jaribio la maswali, chemsha bongo, fumbo, mtihani mdogo. vt 1 uliza maswali (hasa ya mtihani). 2 (arch) chokoza, dhihaki adj 1 -tani. 2 chokozi. ~ly adv.