quip

n stihizai, kejeli, mzaha. vt kejeli. quire n kitita, fungu la karatasi (za kuandikia) ishirini na nne zilizokunjwa na kufanya kurasa nane.