quiet
adj 1 -siojongea, tulivu. 2 -nyamavu/kimya. be ~ nyamaza! become ~ -wa kimya. 3 (of colours) -siong'aa. 4 -liofichika; -a siri. keep something ~ fanya siri. on the ~ kwa siri. n utulivu, kimya, amani. vt,vi (usually quieten) tulia, nyamaa; tuliza. quietly adv. quietness n. quietism n falsafa ya unyenyekevu; usufii. quietist n mnyenyekevu, sufii. ~tude n (lit) utulivu.