question

n 1 swali put a ~ to somebody uliza mtu swali. ~master n mwenyekiti wa jopo la michezo ya maswali na majibu. ~ time n kipindi cha maswali bungeni. ~ mark n alama ya kuuliza. 2 mada, suala. in ~ -nayozungumziwa/jadiliwa. out of the ~ haiwezekani. be some/no etc ~ of -wa/ -tokuwepo na mjadala. come into ~ jadiliwa; -wa muhimu. Question! swali! hoja! put the ~ itisha/pigisha kura. 3 upingaji (kadamnasi); uonyeshaji wasiwasi. beyond (all)/without ~ bila shaka, dhahiri. call something in ~ saili suala; onyesha wasiwasi juu ya kitu. vt 1 uliza, hoji, saili. 2 ~ (whether/if) (doubt) kuwa na shaka I ~ whether nina shaka kwamba it cannot be ~ed haiwezi kushukiwa. ~ able adj -enye shaka, si hakika; tata. questionably adv. questioner n msaili. questioningly adv.