query

n 1 swali. 2 alama ya kuuliza. vt 1 saili, taka maelezo zaidi juu ya jambo. 2 ~ whether/if uliza, dadisi. 3 tia/weka alama ya kuuliza.