queer

adj 1 -geni, -siokuwa -a kawaida. 2 -enye kusababisha wasiwasi. 3 in ~ street (GB sl) -enye shida; -enye madeni. 4 (colloq) -gonjwa kidogo. 5 (derog) -senge; basha. n (derog) (sl) rambuza, msenge. vt (sl) haribu, potosha. queerly adv. queerness n.