queen

n 1 malkia. 2 mke wa mfalme. 3 ~ mother n mame malkia. ~ant/ bee malkia wa mchwa/nyuki. ~bee (fig) n mtu mwenye maringo. beauty ~ n mshindi wa shindano la urembo 4 (sl) rambuza. vt ~ it over somebody tawala kama malkia. queenly adv kimalkia.