quaver

vi 1 (of voice/sound) tetema, tetemeka. 2 imba/sema kwa sauti ya mtetemo. n sauti ya mtetemo; mtetemeko. quavery adj -a kutetemeka.