quarter

n 1 robo: a ~ of century robo karne a ~ of an hour robo saa a ~ of the price robo ya bei. a bad ~ of an hour tukio la muda mfupi lisilopendeza. 2 robo saa a ~ to eight saa mbili kasorobo. 3 kwota: kipindi cha miezi mitatu ambapo kodi na malipo mengine hulipwa. 4 (US) senti ishirini na tano. 5 mguu na tako (la mnyama k.v. ng'ombe n.k.). 6 upande from every ~ toka kila upande/kila mahali nothing will come from this ~ hakuna kitakachotoka huku. 7 mtaa, makazi. industrial ~ n mtaa wa viwanda. married ~s n makazi ya watu waliooa (hasa ya wanajeshi) take up ~s pangisha. 8 robo ya mwezi. 9 at close ~s karibu, karibu sana. 10 nafasi (hasa wakati wa kupigana) ask for ~ omba msamaha/huruma. give ~ samehe, hurumia. 11 (compounds) ~ binding n jalada la ngozi nyembamba. ~day n (of payments) siku ya robo mwaka. quarter-deck n (naut) shetri, sitaha ya nyuma. quarterfinal n robo fainali. ~ light n kidirisha cha gari. vt 1 gawa sehemu nne. 2 (ml) tafutia malazi. quartermaster n 1 (of a ship) serehangi; baharia msimamizi. 2 (army) ugavi. ~ master general n Afisa Ugavi Mkuu. quarterstaff n gongo. quarterly adj -a mara nne kila mwaka, -a kila mwezi wa tatu adv kwa kila mwezi wa tatu.