quantum

n 1 kiasi, kinachotakiwa. 2 (Physics) namba za kwanta. ~ theory n nadharia ya kwanta (kwamba katika unururishaji nishati ya elektroni hutolewa kwa kiasi maalumu, wala si mfululizo)