vt pima/eleza kiasi cha. quantificationn. quantitativeadj -a kiasi. quantityn 1 sifa ya kitu inayoweza kupimwa k.m. ukubwa, uzito, n.k.. 2 kiasi, idadi, wingi. 3 (often pl) idadi kubwa. 4 an unkown quantityn (maths) alama ionyeshayo idadi isiyofahamika; (fig) mtu/kitu kisichoweza kutabirika. quantity surveyorn mkadiria ujenzi. bill of quantityn bili ya makadirio ya ujenzi.