quack1 vt 1 lia (kama bata). 2 bwata, payuka. n mlio (wa bata) ~- ~ n bata (jina litumiwalo na watoto).
quack2 n bingwatapeli: mtu ajifanyaye mjuzi/mtaalamu (hasa katika tiba). quackery n utapeli wa kitaalamu.