put

vt 1 weka, tia. 2 jiweka ~one putself/something in/into somebody's hands (ji)kabidhi, (ji)weka mikononi. ~ somebody in his proper place shikisha/tia adabu. ~ oneself in somebody's/somebody else's position jiweka katika nafasi ya. 3 pachika, tupia, wekea. ~ the blame on somebody tupia lawama. ~ pressure on himiza sana; lazimisha. ~ a strain on somebody/something elemea. 4 athiri maendeleo. ~ an end to maliza, ondoa. ~ an end to ones life jiua. ~ the brakes on something (fig colloq) punguza kasi/mwendo. 5 sababisha. ~ oneself to death jiua. ~ somebody to death ua. ~ somebody at his ease tuliza. ~ somebody to (great) expense sababisha gharama (kubwa). ~ somebody to (great) inconvenience sumbua sana. ~ somebody to the indignity of doing something dhalilisha/tweza. ~ somebody in mind of something kumbusha. ~ somebody/something out of his/its misery tuliza hofu, maumivu, n.k.; (of animals) ua. ~ somebody on (his) oath apisha. ~ somebody/ something to the test pima. ~ somebody in the wrong fanya (mtu) aonekane mkosaji. ~ something right rekebisha. ~ somebody right/straight sahihisha. 6 andika, weka alama. 7 ~ something to somebody, ~ it to somebody (that) pendekeza, ambia. 8 kadiria. ~ a price/value kadiria bei/thamani. ~ something at kadiria. 9 tupa. shot ~ n kutupa tufe. 10 (with adv particles and preps) ~ (a ship) about badilisha welekeo. ~ oneself about hangaika; sononeka. ~ something about eneza. ~ something across over wasilisha. ~ across ideas elewesha; (of business) fanikisha. ~ something across somebody danganya, laghai. ~ something aside weka; (of money) limbikiza, dunduliza, weka akiba; sahau. ~ something away weka mahali pake; (of money) weka akiba; (of food) -la, -nywa mno!; (give up) sahau. ~ somebody away weka kizuizini (agh. katika jela) au hospitali ya vichaa; (of pets) ua. ~ back rudi. ~ something back rudisha; (fig) chelewesha. ~ something by weka akiba. ~ something down weka chini; (of plan) tua; (store) hifadhi; (of accelerator) kanyaga; (of rebellion) komesha; (of note) andika. ~ somebody down tetemesha; dhalilisha; nyamazisha. putdown n dhalilisho. ~ somebody down as hesabu, fikiria. ~ somebody down for andika jina (katika orodha ya mchango). ~ something/somebody down to weka kwenye akaunti; dhania kuwa. ~ something forth toa. ~ something forward in/for something pendekeza; tanguliza, peleka mbele. ~ somebody forward pendekeza. ~ in ingilia. ~ in/into (naut) ingilia, tia nanga. ~ in for something toa maombi rasmi. ~in for leave omba likizo. ~ something in ingiza; toa/leta rasmi, fanya. ~ something in/into something tumia. ~ in a good word for somebody semea (ili kutetea). ~ somebody in ajiri, wajibisha; (politics) chagua. ~ off (naut) ondoka. ~ something off ahirisha; (of clothes etc) vua, ondoa. ~ somebody off (something) ahirisha mpango wa; (excuses) kwepa. ~ somebody off zuia. ~ somebody off his stroke sitisha. ~ something on vaa; jifanya; ongeza; (of show, etc) panga; simamia; (of clock) peleka mbele. ~ somebody on laghai. ~ on n ulaghai; (of hotels) zidisha bei. ~ it on jitiatia. ~ money on weka dau. ~ out (naut) ondoka. ~ something out zima; (of bone) tengua; kopesha pesa kwa riba; (produce) zalisha; (broadcast) tangaza. ~ one's hand out toa mkono. ~ one's tongue out toa ulimi; tusi. ~ somebody out sumbua, changanya, fadhaisha. ~ somebody out (of) fukuza. ~ something through fanikisha; kamilisha. ~ somebody/something through unganisha. ~ somebody through something fanya apitie. ~ somebody through it pima kwa uangalifu; (of interrogation) tesa. be hard ~ to it to do something ona ugumu, wia ngumu. ~ something together unda. ~ ones' heads together shauriana. ~ up (at) panga, kaa. ~ up for somebody simama (katika uchaguzi). ~ something up inua; (of building) jenga; (of notice) bandika; (of rent, etc) pandisha; (store) hifadhi; (supply) toa; (of sword) futika; (of hunting) shtua. ~ something up for auction peleka mnadani. a ~ up job ulaghai, udanganyifu, kazi ya hila. ~ somebody up karibisha. ~ somebody up for something pendekeza. ~ somebody up to something chochea. ~ up with somebody/ something vumilia, stahimili.