purse

n 1 pochi. hold the ~ strings dhibiti matumizi. tighten/loosen the ~ strings punguza/ongeza matumizi. 2 fedha. the public ~ n hazina. purser n mhasibu; afisa wa fedha katika meli. 3 fedha za kuzawadia. 4 mkoba.