purpose

n 1 azma, nia; matilaba; kusudi. on ~ kwa makusudi. ~ built adj -liotengenezwa maalumu. of set ~ kwa makusudi. to the ~ inayofaa. to little ~ -enye athari ndogo. serve/answer one's ~ faa immoral ~ kusudi baya, mambo yasiyo ya maana. vt (lit) kusudia. purposeful adj -enye nia; -enye maana. purposeless adj bure, -sio na lengo/maana. purposelessly adv. purposely adv kwa makusudi; kwa madhumuni purposive adj -enye nia/kusudi. purposefulness n.