purple

n 1 zambarau. 2 vazi la kifalme; vazi la kadinali. born in the ~ mwanafamilia ya kifalme. raise somebody to the ~ teua kuwa kadinali. ~ heart n dawa ya kusisimua; nishani ya Marekani adj -a zambarau. purplish adj. -a zambarau zambarau.