puree

n 1 rojo ya matunda/mboga. purge vi 1 takasa, safisha. 2 harisha (tumbo). ~ somebody (of/from something); ~ something away (from somebody) 1 (rel) takasa. 2 safisha tumbo (kwa kuharisha). 3 (leg) lipiza, safisha. ~ one's contempt fanya itakiwavyo baada ya kudharau mahakama. 4 (pol) safisha (chama) kwa kuondoa wakorofi n 1 haluli. 2 kusafisha. purgation n 1 utakaso. 2 kusafisha tumbo (kwa kuharisha). purgative n haluli adj -enye haluli, -a kuharisha. purgatorial adj -a mahali pa kutakasia (dhambi ndogo). purgatory n (rel) 1 toharani. 2 mahali pa mateso ya muda.