pure
adj 1 safi. 2 menyu; tupu; halisi. 3 -sio na doa, safi kabisa. 4 (of sounds) dhahiri. 5 kwa ajili ya nadharia tu. 6 tu, tupu. ~ and simple tupu stupidity ~ and simple upumbavu mtupu. ~ blood n damu menyu/safi. ~ ly adv kabisa. ~ness/purity n usafi, utakaso, utakatifu; udhu. purifier n kitakaso; kisafishi. purify vt 1 safisha; takasa; chuja. 2 fanya -ema. 3 (correct) sahihisha. purification n utakaso. purist n mtu anayesisitiza ufasaha, mkuntu. purity n 1 usafi, weupe, utakatifu. 2 tohara, udhu. 3 ufasihi, uhalisi, ubora. purism n 1 usafi; utakatifu; ufuauji. 2 hali ya kung'ang'ania mno usahihi wa taratibu.