puppy

n 1 kitoto cha mbwa. 2 kijana mwenye majivuno/mjuvi, fidhuli. ~ love n mapenzi ya kitoto; mapenzi ya kwanza/uzuzu. ~ fat n unene wa kitoto.