puppet

n 1 karagosi. 2 (fig) kibaraka. ~ play n mchezo wa karagosi. puppetry n ufundi wa kuchezesha karagosi. ~ show n mchezo wa karagosi. ~ -state n dola kibaraka.