punch

punch

1 vt 1 piga ngumi/konde. 2 (US) chunga ng'ombe. n 1 pigo la konde/ ngumi. ~ ball; ~ing ball n gunia la kufanyia mazoezi ya ubondia. 3 (fig) ladha, nguvu. pull one's ~es shambulia kidogo tu, punguza nguvu ya mashambulizi. ~ drunk adj (in boxing) -liochanganyikiwa (baada ya kupigwa). ~ line n kipeo cha hadithi. ~up n (colloq) mapigano ya ngumi.

punch

2 n 1 panchi. 2 mhuri/chapa. vt toboa kwa panchi.

punch

3 n panchi: kinywaji kilichotengenezwa kwa mvinyo au pombe kali (iliyochanganywa na maji ya moto yaliyotiwa sukari, limau, na viungo). ~ bowl n bakuli la mvinyo.

punch

4 n Panchi: nguli wa mchezo wa karagosi wa Uingereza. as proud/ pleased as P~ -enye furaha; -enye majivuno.