pump

pump

1 n pampu: bomba ya kuvutia maji au mafuta; chombo cha kujazia upepo/hewa. ~ room n (at a spa) chumba cha kugawanyia/sambazia maji ya dawa. vt 1 vuta kwa bomba; jaza upepo. 2 sukuma the heart ~s blood in the body moyo husukuma damu mwilini. 3 (fig) dadisi; hoji; jaza maarifa.

pump

2 n viatu (bila gidamu vya kuchezea dansi).