pulp

n 1 nyama ya tunda; moyo. 2 kitu chororo au laini. ~ magazines/ literature n magazeti/fasihi chapwa. 3 ubao uliosagwa kutengeneza karatasi; rojo ya ubao vt ororesha; lainisha. beat somebody to ~ piga mtu sana. pulpy adj.