pull

n 1 uvutaji; unywaji mfululizo. 2 mvuto. 3 nguvu ya kwenda dhidi ya mvuto. 4 (colloq) uwezo wa kushawishi/kupata msaada. 5 kishikizio. 6 (printing) prufu; chapa (kwa ajili ya ukaguzi/masahihisho). vt,vi 1 vuta; kokota; buruta. ~ to pieces rarua vipandevipande; (fig) kosoa; maliza; burura. 2 (of a boat) pwezua, shua. ~in together (fig) fanya pamoja, shirikiana. ~ one's weight wajibika. 3 ~ at/on vuta; -ng'oa; nyonya. 4 (sl) ~ a fast one (colloq) danganya. ~ a muscle umia msuli; shtuka musuli. ~ proof chapa prufu. 5 (in games) piga kushoto kwa makosa. 6 (sl) iba; vamia na kunyang'anya. 7 ~ somebody/something about vuta huku na huko; tendea mtu mabaya. ~ something apart rarua (makala, maandishi, dhana n.k.). ~ something down haribu. ~ somebody down (of illness, etc) dhoofisha; (fig) dhalilisha. ~ in (of a train) ingia katika stesheni; (of motor vehicle or boat) elekea. ~ somebody in vutia; (colloq) (of the police) kamata. ~ oneself in kaza misuli ya tumbo. ~ something in (colloq) pata. ~ something off egesha; simamisha pembeni.~ out toa; chomoka; chomoa; (of person) jitoa. ~ out of something ondoka. ~ (somebody) out (of something) okoa. ~ (something) over (of a vehicle, boat, etc) weka kando. ~ (somebody) round saidia (kupata nafuu ya gonjwa/udhaifu. ~through/ ~ round fanikiwa (licha ya shida, n.k.). ~ somebody through saidia (mtu) kupona; saidia mtu kuepukana na matatizo, saidia mtu ashinde mtihani. ~ through n tambara la kusafishia bunduki. ~ oneself together jizuia; jikaza. ~ (something) up vuta juu, simama. ~ somebody up kemea, karipia. ~ up simama; simamisha. ~ up to with somebody/something fanya uhusiano uwe wa karibu zaidi.