puff1 n 1 mpumuo; mpwito. 2 (powder-) ~ kipakazi (poda). 3 kitambaa laini kinachobandikwa kwenye nguo kama urembo. 4 ~-pastry n kinyunya chepesi. 5 tahakiki inayosifia kupita kiasi. 6 puff-adder n bafe, kifutu. puff-ball n kuvu yenye umbo la mviringo (agh. hupasuka linapokomaa). puffy adj. ~ness n. uvimbevimbe.
puff2 vi,vt 1 pwita, toa pumzi kwa nguvu, hema. 2 puliza. ~ed up -wa na kiburi, majivuno. 3 ~ something out zima kwa kupulizia; furisha, vimbisha. 4 sifia kupita kiasi.