puddle

n 1 kidimbwi. 2 tope (iliyochanganywa na mchanga). vt 1 kanda; kandika udongo. 2 koroga chuma (kilichoyeyushwa). puddler n mkandaji; mkandikaji, mkorogaji.