pudding

n 1 pudini. ~ face n uso mkubwa na mnene. 2 aina ya soseji. black ~ n soseji ya utumbo wa nguruwe. 3 kitu kama pudini. 4 ~ puddle stone n mwamba wenye tabaka la vijiwe vidogo.