publication

n 1 uenezi. 2 uchapishaji. 3 chapisho. publicist n mwandishi wa habari (agh. za kisasa zenye kuvutia umma), mwenezi habari. publicity n 1 kujulikana, kuwa hadharani. 2 utangazaji. publicity agent n afisa mwenezi. publicize vt tangaza, eneza habari. publish vt 1 chapisha. 2 tangaza. publisher n mchapishaji.