public

adj 1 -a watu wote; -a umma, -a wananchi; -a serikali. ~ house n kilabu. ~ transport n usafiri wa umma. ~ enemy n adui wa jamii/umma. 2 (compounds) notary ~ mthibitishi rasmi, wakili ~ auction mnada wa hadhara. ~ address system n mfumo wa kupaza sauti. ~ affairs n mambo ya taifa. ~ benefit n faida ya umma. ~ document n hati ya serikali. ~ highway n barabara kuu (ya wote). ~ interest n manufaa/maslahi ya umma. ~ relations n uhusiano. ~ relations offficer n ofisa uhusiano. ~ school n (US and Scot) shule ya serikali; (GB) shule ya kulipa. ~-spirit n moyo wa kusaidia jamii. ~ utilities n mashirika ya huduma za umma. public-spirited adj. ~ n 1 the ~ n watu, umma. 2 kundi la watu. in ~ hadharani, kadamnasi.