pseudo

(pref) uongo; bandia adj (colloq) bandia; -a uongo; -a kujifanya. pseudonym n jina bandia; jina la kukopa, jina la kujipachika. pseudonymous adj -enye kuandika kwa jina la bandia.