province

n 1 jimbo, mkoa. 2 the ~s n shamba nje ya mji. 3 uwanja (wa kitaaluma). 4 jimbo la askofu. provincial adj 1 -a jimbo, -a mikoani, -a bara. 2 mshamba. 3 -enye mawazo finyu. provincially adv kishamba, kigeni, kimawazo finyu. provincialism n 1 tabia lugha/mwenendo wa mtu wa shamba/bara; ushamba, ubara.