provide

vt,vi 1 ~ for somebody/ something toa; andaa, auni. ~ against something weka kinga, jikinga na. 2 taja; (prepare) weka wazi. 3 ~ something (for somebody); ~ somebody with/something kimu. provided conj. ~ d that) kwa sharti kwamba; alimradi/ mradi. provision n utoaji wa vitu kwa siku za mbele. 2 kiasi kinachotolewa. 3 (pl) vyakula, chakula (bidhaa n.k.). providence n 1 (arch) uwekevu; ubanifu (wa hali). 2 Providence n majaliwa, amri ya Mungu. provident adj 1 -enye busara, -a kuona mbali. 2 -ekevu, -a kuweka akiba. ~ently adv. provider n mpaji, mkimu a good ~r mkimu mwema a ~r of office supplies mgavi wa vifaa vya ofisi. ~ential adj -a kudra, -a bahati njema; -a kufaa. ~ntialy adv.