proud

adj 1 (in a good sense) -a kujivunia. 2 (ina bad sense) -a kiburi, -a majivuno. 3 -a fahari it was a ~ day for Tanzania ilikuwa siku ya fahari kwa Tanzania. 4 ~ flesh n punye la kovu. 5 (compounds) house ~ adj -enye kujali nyumba. purse ~ adj -enye kujivuna kwa sababu ya utajiri. proudly adv.