protect

vt hami, linda, hifadhi; (of medicine) zinga, kinga. protection n 1 ulinzi; kinga give ~ion linda. protection money n fedha za ulinzi (pesa zinazodaiwa na wahalifu). 2 mfumo wa kulinda viwanda (dhidi ya ushindani wa viwanda vya nje). 3 ulinzi. protectionism n ulindaji; ukingaji. protective adj 1 -a kuhifadhi; -a kukinga. ~ive shoes n viatu vya kujikinga. ~ive colouring n rangi ya kujikinga. 2 ~ive (towards) -enye kutaka kulinda. ~ive foods vyakula vya kinga mwili. protector n mlinzi, mhifadhi. protectorate n nchi lindwa: nchi iliyo chini ya ulinzi wa nchi nyingine.