prospect

prospect

1 n 1 mandhari; (fig) (of the mind) maono. 2 (pl) matazamio; matarajio the ~s of heavy rains have diminished matazamio ya mvua nyingi yamepungua. 3 matumaini. 4 mteja (wa kutumainiwa). prospective adj -a kutazamiwa. prospectively adv kwa matazamio.

prospect

2 vt ~ (for) tafuta (madini). prospector n mtafuta (madini). gold ~or n mtafuta dhahabu. prospecting n. kutafuta (madini); utafutaji (wa madini).