proprietor

n mwenye mali; mmiliki mali. proprietress n mwenye mali (wa kike). proprietary n kundi (la wenye kumiliki) adj 1 -nayomilikiwa, -a mwenyewe. 2 -a kama mmiliki. proprietary medicine dawa ya pekee iliyohifadhiwa isiigwe.