proportion

n 1 uwiano, urari. in ~ to kwa kuwiana na. get something/be out of (all/any) ~(to) fanya iwe/isiwe na uwiano na. 2 (pl) proportions n ukubwa; vipimo; kadiri. 3 sehemu; hisa. 4 (math) kadiri ya uhusiano baina ya seti mbili za namba. vt 1 ~ (to) linganisha. 2 gawanya, gawa. proportionable adj. proportional adj ~al (to) -a uwiano, -a kuwiana, -a urari. proportioned adj -a uwiano, -a urari. vt wianisha. ~ ately adv.