property
n 1 miliki; rasilimali. 2 mali immovable ~ mali isiyohamishika. a man of ~ tajiri. personal ~ n mali ya mtu binafsi. common ~ n mali ya wote. real ~ n ardhi na majengo. 3 umilikaji. 4 tabia; asili, nguvu. 5 (theatre, abbr. prop) vitu, vyombo, vifaa. stage ~ n vifaa vya jukwaani. ~ man/master n mtunzaji vifaa vya michezo ya kuigiza. propertied adj -enye mali.