proper

adj 1 -a kufaa, -a kustahili, -stahiki, sawa. 2 -a adabu, -a heshima; sahihi; -zuri. 3 halisi in ~ condition katika hali halisi. ~ fraction n sehemu halisi. 4 ~ to -a kuhusiana hasa na, maalumu kwa. 5 (gram) kamili. 6 (colloq) kabisa, hasa ~ telling off karipio he was given a ~ telling off alikaripiwa vikali. properly adv 1 kwa kufaa, vizuri. 2 kikamilifu; hasa.