proof

n 1 ushahidi; thibitisho, ithibati convincing ~ ushahidi wa kutosheleza, ithibati. ~ to the contrary kinyume cha ushahidi. the ~ of the pudding is in the eating ukweli unajitokeza katika vitendo. 2 uelekezaji, hali ya kujaribu (kuona kama kitu ni cha kweli au la). 3 jaribio, uchunguzi (wa kuyakinisha). 4 prufu, nakala ya kitabu n.k. ya kujaribia. proofread vt,vi soma/ sahihisha prufu. ~ reader n msomaji wa prufu. 5 kiwango sanifu cha ukali wa vinywaji vikali adj 1 ~ (against) hodari; thabiti, imara ~ against temptation imara, -siovutwa na majaribio. 2 -siopenyeka rain-~ coat koti lisilopenyeka mvua. fool-~ adj -sioshindika.