pronounce

vt,vi 1 tamka how do you ~ that? unatamkaje hiyo? 2 nena wazi; tangaza. 3 ~ for/against somebody (leg) pitisha/toa hukumu. pronunciation n matamshi. ~ sentence tamka adhabu. ~ on/upon toa wazo/maoni. pronounceable adj -a kutamkika. pronounced adj wazi, thabiti. pronouncement n tangazo, maelezo (ya nia au ya shauri); hukumu.