project

n mradi, mpango. vt,vi 1 panga; sanifu. 2 ~ something (on (to) something) tupa/ onyesha (mwanga, picha, mwali, n.k.). 3 ~ something on to somebody singizia (bila kukusudia). 4 onyesha, toa picha/sifa. 5 vurumisha. 6 chomoza. 7 chora picha/ramani ya kitu. projectile adj -a kutupa, -a kutupwa mbele, -a kuvurumisha; -a kurusha ~ile force nguvu ya kutupa kitu n kombora. projection n 1 mtupo; mvurumisho. 2 mchomozo. 3 usanifishaji mipango. 4 (drawing) sanamu; picha; ramani; utoaji/utupaji kivuli au picha mbele. ~ion room n chumba cha projekta (cha kuonyeshea picha za sinema katika kiambaza). projectionist n mwonyeshaji picha za sinema. projector n projekta: chombo kitupacho picha mbele k.m. katika sinema.