progress
n 1 mwendo wa mbele; kuendelea mbele; maendeleo make ~ endelea. 2 safari ya kiserikali (inayofanywa na mkuu wa dola). vi endelea, songa mbele, piga hatua. progression n 1 uendeleaji, kuendelea, kwenda modes of ~ aina za miondoko k.m. kutambaa. 2 kuendelea mbele. progressive adj 1 -a kuendelea mbele. 2 -a kuongezeka hatua kwa hatua. 3 -a kupendelea maendeleo ~ ive movement genge la kimaendeleo. 4 -a moja kwa moja, -a kidogo kidogo n mpenda maendeleo. progressively adv. progressiveness n.