program(me)
n 1 utaratibu/mpango (wa mfuatano wa mambo ya kutekelezwa).~ music n muziki unaoashiria hadithi/matukio yanayojulikana. ~ note n maelezo mafupi juu ya maonyesho. 2 (politics, etc) programu, mpango. 3 (of computer) programu. vt 1 tengeneza programu ya kompyuta. ~d course n kozi inayodhibitiwa hatua kwa hatua. ~d learning n kujifunza kwa kozi ya aina hiyo. ~r n mtengeneza programu. 4 (radio) mfuatano wa vipindi.