profound

adj 1 (deep) -a ndani sana, -a kina; kubwa, -ingi ~ sleep usingizi mnono. 2 (significant) -a maana sana. 3 zito. 4 -a kuhitaji/kuonyesha maarifa mengi ~ books vitabu vyenye mambo mengi ~ writers waandishi wenye maarifa mengi ~ thinkers watu wenye fikra nyingi. ~ly adv. ~ ness n. profundity n.